Contact

Wasiliana na ForexTanzania

Una swali kuhusu kujifunza forex, deposit au withdrawal? Tuongee.

Pata msaada wa moja kwa moja kupitia WhatsApp.

WhatsApp: +255 712 939 986

Tunaweza Kukusaidia Kuhusu

  • Maswali ya kujifunza forex na kutumia masomo yaliyopo.
  • Msaada wa deposit na withdrawal.
  • Upatikanaji wa huduma kwa broker, online wallet au payment platform yako.
  • Rate, fees na processing time ya ombi lako.

Unapotutumia Ujumbe

Kwa maswali ya masomo, taja mada au sehemu unayohitaji kusaidiwa.

Kwa deposit au withdrawal, taja platform, aina ya huduma, kiasi na njia ya malipo unayotaka kutumia. Taarifa hizi zitatusaidia kuelewa ombi lako.

Kabla ya Kutuma Fedha

Thibitisha taarifa za malipo na mpokeaji, rate, fees na processing time kupitia WhatsApp kabla ya kutuma fedha. Hifadhi reference na uthibitisho wa muamala wako.

Upatikanaji wa huduma na muda wa processing hutegemea platform, njia ya malipo na hali ya muamala. Hatuhakikishi muda maalum wa kukamilisha kila muamala.

Usitume password, PIN au OTP kupitia ujumbe.

Wasiliana kupitia WhatsApp ↗