Kuhusu ForexTanzania
Elimu ya Forex kwa Kiswahili. Msaada wa malipo unaoeleweka.
ForexTanzania inatoa elimu ya forex bure, hasa kwa Kiswahili, pamoja na msaada wa deposit na withdrawal kwa brokers, online wallets na payment platforms zinazoungwa mkono.
Jifunze Forex Bure
Tunarahisisha kujifunza forex kupitia masomo, video na PDF resources. Maudhui yetu yanakusaidia kuelewa misingi ya forex, kusoma charts na kujenga uelewa wa usimamizi wa hatari, hatua kwa hatua.
Deposit & Withdrawal Assistance
Tunatoa msaada wa kuweka na kutoa fedha kwa platforms zinazoungwa mkono. Wasiliana nasi kupitia WhatsApp ili kuthibitisha upatikanaji wa huduma, njia za malipo, rate, fees na processing time inayohusiana na ombi lako.
Lengo Letu
Lengo letu ni kufanya elimu ya forex iwe rahisi kueleweka na kutoa msaada wa malipo unaozingatia mahitaji ya watumiaji wa Tanzania. Tunahimiza kuuliza maswali na kuthibitisha taarifa kabla ya kufanya maamuzi au kutuma fedha.
Fahamu Hatari
Forex trading ina hatari ya kupoteza fedha. Elimu tunayotoa haihakikishi faida. Jifunze kuhusu hatari zinazohusika na usitumie fedha ambazo huwezi kumudu kupoteza.
Learn Global. Pay Local.