Telegram Group
WhatsApp chanel
https://whatsapp.com/channel/0029Vb6J1rRKWEKtnyZ7Tv2h
WhatsApp group
https://chat.whatsapp.com/EYyX310g9ewIihbBTtnGvS?mode=ac_t
Forex ni nini
Forex (Foreign Exchange) ni soko la kimataifa la kubadilisha fedha za kigeni. Ni mahali ambapo watu, benki, taasisi za kifedha, na mashirika hubadilishana sarafu moja kwa nyingine kwa bei inayobadilika kulingana na mahitaji ya soko.
Kwa mfano, kama unataka kubadilisha shilingi za Kenya (KES) kuwa dola za Marekani (USD), unafanya hivyo kupitia soko la Forex. Bei za sarafu hubadilika kila wakati kutokana na sababu kama vile hali ya uchumi, siasa, sera za benki kuu, na mahitaji ya soko.
Katika biashara ya Forex, watu hununua na kuuza sarafu kwa lengo la kupata faida kutokana na mabadiliko ya bei. Biashara hii hufanyika mtandaoni kupitia madalali (brokers) na hufanyika kwa jozi za sarafu kama EUR/USD, GBP/USD, na USD/JPY.
Vitu muhimu unavyohitaji kuwa navyo kabla ya kuanza kuvifunza forex trading
1. SIMU AU COMPUTER YENYE UWEZO WA INTANET
2. ACCOUNT KWAAJILI YA KUTREDIA HII HUWA INAFUNGULIWA KA BROKER. Nimekuwekea link zao hapo chini ni wawili tofauti. Mmoja kwaajili ya kutrade index pair na mwingine kwaajili ya kutrade Currency pair
. Broker wa kwanza ( kwaajili ya index )
Broker link
Baada ya kufungua link utaend create account. Nimekuwekea video hapo chini kwa maelezo zaidi
Kwa msaada zaidi whatsapp +255712939986
Kwa wale ambao hawafahamu kuhusu broker binary Basi nimekuwekea hapa maelezo mafupi yanaweza kukusaidia 📌📌
📌Ni broker anayetumia platform ya MT5 , yeye hatumii Ile platform tuliyozoea ya MT4.
📌Ukimtumia broker huyu utaweza kutrade currencies na index Kama ilivyo volatility index 75 ambayo inatoa mpunga mwingi Sana kwa lotsize ndogo ya 0.01 , pia usisahau ukipata loss inakuwa kubwa
📌 Faida moja ya kutrade indexs Hakuna news pia hakuna likizo Yani hata weekend unatrade , soko la index halifungwi ,
📌Usihofu kuhusu verification ya account yako , binary huitaji kutuma documents yoyote ili kuverify account yako , Yani utafungua account real na utatrade bila matatzo yoyote na utatoa hela zako Kama kawaida bila verification yoyote..
Ila siku utakapohitaji kuwithdraw amount ya $10,000 kwenda juu Basi hapo watakuhitaji uwatimie documents zako kwa ajili ya kuverify. But chini ya $10,000 huitaji kuverify
📌 Kuhusu methods za deposit na withdraw wanatuma methods zilezile tunazozijua Kama Skrill, bank card, netteller nk, Ila pia Kuna njia mpya ya kudeposit kupita agent ambayo ni haraka na zaidi
Ukihitaji agent unaweza kumtafuta whatsapp kwa namba +255712939986
Uaminifu wa agents Ni mkubwa Sana so usihofu juu ya Hilo.
📌 minimum deposit na withdraw Ni $1
Unaweza kufungua account yako ya binary Leo kwa kubofya link hapo chini
https://track.deriv.com/_lqJT4ErqONh0QQMXeD9If2Nd7ZgqdRLk/1/
Broker wa pili kwaajili ya currency justmarkets broker nimekuwekea link yake hapa chini
https://one.justmarkets.link/a/wvocb0qv9n/landing/quick-start
Kwa account zote mpya anatoa welcome bonus ya 30 usd kwaajili ya kutrade.
Terminoly zinazotumika kwenye forex trading
Currency pair mfano EUR/USD
Base currency Sarafu ya kwanza mfani hapo juu ni EUR
Quote Currency Sarafu ya pili mfani hapo juu ni EUR

PIPS
-Ni kipimo kinachotumia kupima na kuhesabu faida hasara kwenye soko la forex
Kwa maelezo zaidi tanza video hapa chini
SPREAD
-kwenye kila trade unayoingia (Buy/sell) broker kuna kiwango huwa ana charge. Hicho kiwango kwenye forex market kinaitwa spread
Lots size
Namba ( kiwango) kinachotumika kupima profit au loss.
Mfano ukitumia lot ya 1 kwenye pips 10 utapata faida ya 100usd
Ukitumia lot ya 0.10 kwa pips 10 utapata faida ya 10usd
Ukutumia lot ya 0.01 kwa pips 10 utapa faida ya 1usd
N.B kiwango cha lot unachotakiwa kutumia kitagemea na capital uliyonayo (risk management factor).
Kwa maelezo zaidi tanzania video hii
Long/Bullish
Hii inamaanisha BUY
Short/Bearish
Hii inamaanisha sell
Leverage
Hii na kama mkopo unaopewa na broker. Kwenye kila hela unayoweka kina kiwango broker huwa anakuongezea ile uweze kufungua trade nyingi zaidi. Kwa maelezo zaidi tazama video niliyokuwekea hapa chini
TAKE PROFIT
Sehemu (eneo) ambayo utafunga trade yako kwa faida
STOP LOSS
Sehemu(eneo ambalo utafunga trade yako kwa hasara.
SWAP CHARGE.
Makato enda utalaza trade yako kwa usiku mmoj (haya yanaweza kuwa negative au positive)
TREND
Ueleko wa soko hii inaweza kuwa kwa kwenda juu(uptrend) au kwa kwenda chini (downtrend)
Techinical analysis
Uchambuzi wa soko kwa kutumia chart, indicator au pattern.
Support & Resistance
Support: Bei inayoshikilia kushuka zaidi
Resistance: Bei inayozuia kupanda zaidi
Fundamental analysis
Uchambuzi wa soko la forex kwa kutumia habari za kiuchumi na siasa
Support & Resistance
- Support: Bei inayosaidia kushuka/kupanda zaidi
- Resistance: Bei inayozuia kupanda/kushuka zaidi
Metatrade 4 au 5 mt4&mt5
Programu tunazotumia kwenye trading kwenye soko la forex
Candlestick
Hii ni aina ya chart inayotumika kufanya analyisi kwenye soko la forex ili ujue ni sehem ipi uta buy na sehemu ipi uta sell. (Hii ni kama lugha inayotumika ili wewe kulielewa soko)
Candlestick zipo za aina mbili
i/ bullish candle(Mara nyingi huwa na rangi ya kijani au nyeupe)
Hii ni aina ya candle inayosabisha market kwenda juu. Sababu huwa inafunguka chini na kufunga juu.
ii/ bearish candle(Mara nyingi huwa na rangi nyekundu au nyeusi)
Hii ni aina ya candlestick inayosababisha market kushuka chini sababu hufunguka juu na kufunga chini
Candlestick moja ina sehemu mbili
Body and tail(wick)


PENDING ORDER
Ni aina ya order ambazo zinawekwa endapo price itafika kwenye kiwango fulan ambacho kwa mda huo bado hakija fikiwa.
Mfano unataka ku but pair EURUSD kwenye price ya 1.1010.
Lakini kwa sasa price ipo 1.1000
Hapo ndo matumizi ya pending order yanapohitijatika
PENDING ORDER ZINAZOTUMIKA KWENYE FOREX MARKET.
Buy Stop
Unataka kununua (Buy) sarafu kwa bei ya juu kuliko bei ya sasa
Unategemea kuwa bei ikifikia kiwango hicho, itaendelea kupanda zaidi
🟢 Mfano: Bei ya sasa ni 1.1000
Unaweka Buy Stop kwenye 1.1030
→ Ikiwa bei itapanda hadi 1.1030, order itafunguka
Sell Stop
Unataka kuuza (Sell) kwa bei ya chini kuliko bei ya sasa
Unategemea kuwa bei ikishuka hadi hapo, itaendelea kushuka zaidi
🔴 Mfano: Bei ya sasa ni 1.1000
Unaweka Sell Stop kwenye 1.0970
→ Ikiwa bei itashuka hadi 1.0970, order itafunguka
Buy Limit
Unataka kununua (Buy) sarafu kwa bei ya chini kuliko bei ya sasa
Unategemea kuwa bei itashuka hadi kiwango fulani, halafu itapanda
🟢 Mfano: Bei ya sasa ya EUR/USD ni 1.1000
Unaweka Buy Limit kwenye 1.0950
→ Ikiwa bei itashuka hadi 1.0950, order itafunguka
Sell Limit
Unataka kuuza (Sell) sarafu kwa bei ya juu kuliko bei ya sasa
Unategemea kuwa bei itapanda hadi kiwango fulani, halafu itashuka
🔴 Mfano: Bei ya sasa ni 1.1000
Unaweka Sell Limit kwenye 1.1050
→ Ikiwa bei itapanda hadi 1.1050, order itafunguka

Faida za Kutumia Pending Orders
.Haulazimiki kukaa muda wote ukisubiri soko
.Husaidia kuingia kwenye soko kwa bei bora
.Hupunguza maamuzi ya kihisia (emotions)
Forex Godfather elite pdf
17 proven strategies
Forex pdf
MARKET ANALYSIS
Market analyis itakusaidia kujua ni mda gani wa kuplace BUY au SELL katika currency pair
Mfano USD/JPY unatakiwa uBUY au uSELL kwa mda fulani
Kuna aina mbili za kufanya analysis katika forex trading ambazo ni👇
1.TECHINACAL ANALYSIS
2.FUNDAMENTAL ANALYSIS
1.TECHNICAL ANALYSIS
Hapa forex trader hutambua thamani ya Currency pair mfano USD/JPY kwa kuangalia chart
Types of chart
1.line chart
2.Bar chart
3.Candlestick chart
Nitazungumzia zaidi candlestick chart kwasababu ndiyo inayotumiaka sana katika kufanya analysis
Candlestick kwa maana nyingine unaweza ukasema ni lugha ambayo traders wa forex hutumia katika kuwasiliana 👍👍👍
Huwezi kutrade Forex kama hujui lugha ya mawasiliano Kati yako na soko la forex pamoja na traders wengine duniani😅😅😅

Muonekano wa candlestick👆👆
Kila candlestick unayoiona katika chart yako kuna kitu ina maanisha☺️☺️
Types of candlestick
1.bull candle
Huwa na rang nyingi huwa ina rangi ya KIJANI au NYEUSI (japo unaweza kuweka rangi unayoipenda)
2.bear candle
Mara nyingi huwa na rangi NYEKUNDU au NYEUSI (j
apo unaweza ukaweka rangi unayoipenda)
Kwa maelezo zaidi kwa kipengele hi unaweza refer 👆juu kwenye kipengele cha terminology used in forex
Nimekuwekea hapa chini pdf zitakazokusaidia kuelewa vizuri candlestick
Candlestick book
TRENDLINE
Trendline katika Forex trading ni mstari unaochorwa kwenye chati ili kuonyesha mwelekeo (trend) wa bei ya soko – kama bei inapanda (uptrend), inashuka (downtrend), au iko flat (sideways). Ni mojawapo ya tools rahisi na muhimu sana katika technical analysis.
Important terminology
WICK
Hizi ni line ambazo huonekana juu au chini ya CANDLE(candlebody) kwa jina jingine huitwa SHADOW
Wick ni mstari mwembamba unaotokea juu au chini ya mshumaa kwenye chati ya candlestick:
.Upper wick = Bei ya juu kabisa iliyofikiwa, lakini soko. likashuka kabla ya candlestick kufunga
.Lower wick = Bei ya chini kabisa iliyofikiwa, lakini soko likapanda kabla ya candlestick kufunga.
Umuhimu wa Wick katika Trading:
- Inaonyesha nguvu ya buyer au seller (price rejection)
- Wick ya juu ndefu: Soko lilijaribu kupanda, lakini seller walisababisha market kushuka (bearish signal).
- Wick ya chini ndefu: Soko lilijaribu kushuka, lakini buyer walisababisha market kupanda (bullish signal).
- Husaidia kutambua reversals
Wick ndefu mara nyingi huonekana karibu na mabadiliko ya mwelekeo (trend reversal zones)


RANGE (RANGING MARKET)
Ranging marker price huwa inamove UP and DOWN katika two level
√√Consolidation√√
Hapa price huwa inamove sideway maranyingi hii hutokea endapo kuna low volume
√√ LAST KISS (RETEST)√√√
Hii hutokea endapo kuna breakout
***Breakout ni ambapo price(candle) inatoboa mistari ya S/R (support and resistance) Au TRENDLINE
Breakout inapotokea price huwa inarud kuRETEST(kupata support) kwenye line or level kabla ya kuendelea na movement yake in the direction of breakout


MARKET SWINGS
Market inamove in swings
swings ni pale inapomove kama mawimbi(wave)
so katika uptrend itatengeneza Higher higher and higher low like 👇


Kwenye downtrend itatengeneza lower High and low low


UMUHIMU WA KUTAMBUA MARKET PRICE SWINGS
ili uwe price action trader mzuri ni muhimu kutambua jinsi market inavyomove in swings
usipoelewa vizuri unaweza kutana na matazo yafuatayo
1.utafungua trade eneo lisilo sahihi kwa mfano in downtrend utasell wakati market inafanya upswing hii sio sahihi kwa sababu itakupelekea kuhold loss kwa mda mrefu (utafungua trade wakati bado market inafanya retracement move)
2.Utaweka stop loss kubwa sana(yenye pips nying) na endapo utalazimisha kuweka stop loss ndogo utakuwa stopped out(hit of stop loss) wakati trade ikiwa bado ipo upande wako

kwenye uptrend unatakiwa ubuy wakati price inamalizia kufanya downswing

Kwenye downtrend unatakiwa u sell kipingi markert inamalizia kufanya upswing

✅CANDLESTICK PATTERN AND PHYSOLOGY behind it formation✅
Candlestick patern ni muhimu muhimu wakati kufanya analysis itakusaidi kujua ni wakati gani Utabuy na wakati gani uta sell
CANDLESTICK pattern ni lugha ambayo hutumiwa na forex traders endapo utajua kuitumia vizuri☺️ itakusaidia kujua MARKET INAKUTAKA UFANYE NINI KWA MUDA HUO
Kwa sasa nitaelekeza jinsi ya kuzitambua candlestic pattern na ujumbe unaozitoa.
ANATOMY OF CANDLESTICK PATTERN
Nitaelezea pysiology behind its formation hii itasaidia kupata ujuzi wa kuzitambua kiurahisi (candlestick pattern)na pia itakusaidia kutambua unatakiwa ufanye nini kwa wakati huo (ukielewa vizuri haitakusumbua sana wakati wa kuzitrade)
1.ENGULF BAR CANDLESTIC PATTERN
-hii ni candlestic pattern ambayo inajumuisha candlestick mbili candlestick ya kwanza huwa fupi na candle ya pili huwa ndefu kuzidi candlestick ya kwanza


Kama lilivyo jina engulf bar ina maana kwamba candle ya pili imeimeza(engulf) candlestick ya mwanzo
ili iwe engulf bar candlestick lazima iwe imemezwa kabisa na candlestick ya pili kama ilivyoonesha kwenye picture za hapo juu👆👆
Wale waliosoma biology walikuwa wanasema engulf ni self distruction (😄😄) of the sell n huku kwenye forex ni candle ya pili ndo inaimeza candlestic ya mwanzo😅😅
Engulf bar candlestick pattern zipo za aina mbili
🔵 bullish engulf bar
🔴bearish engulf bar
🔴BEARISH engulf bar
-kwenye bearish engulf candlestick ya mwanzo huwa inamezwa na candlistick ya pili ambayo huwa ni bearish candle
kama hujui bearish candle ni nini pitia maelezo ya vipindi vya nyuma😰
Muonekano wa bearish engulf pattern tazama pict zifuatazo👇